Msaada wa kupata mkopo

Geofrey J

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Mm ni mwalimu niliyehitimu diploma mwaka 2010 kwa masomo ya PHYSICS&MATHEMATICS nmeomba kusoma first degree je? kunauwezekano wa kupata mkopo kwan nipo kazin na ni mwaka wa 2 sasa tangu niajiliwe na serikal inaxema nn kwa walimu waliomaliza diploma?
 
Acha kuwanyima wengine mkopo maana ukipewa wewe na una ajira kuna mtoto wa masikini atakosa kwa mshahara wako unaweza kujisomesha vizuri bila msaada wa HESLB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…