Msaada wa kupata muvi ya "Chiku na Kapili"

Msaada wa kupata muvi ya "Chiku na Kapili"

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Salamu Wajumbe.

Kuna muvi ya Kiswahili niliwahi kuitazama miaka ya 2009/10 ya vijana wawili, mmoja wa kike mmoja wa kiume ambao walikuwa wanaishi msituni na wazazi wao ambao walifukuzwa kwa uchawi kijijini.

Wao walizaliwa hukohuko porini na baadae wazazi wakafa hvyo katika tembea zao wakaibukia kijijini...wakapata walezi wakasoma mwanaume alifanikiwa sana kielimu ila dada yake alipata mimba wakati anasoma.

Baadae dada yake akaja kumuua kaka ake kwa ushauri wa mumewe.

Aisee mwenye uwezo wa kunipatia hii muvi msaada wenu wajumbe
 
hUMo Ndo WAliPiGa NYiMbo Ya fEr0Ze "MkiWa",jAMaNi zAMAni rAha😋😋
M0Vie ilikUa NdEfu kAMa StiNg Za Mbu Wa dAr.. .
 
Back
Top Bottom