Msaada wa kupata Namba za kuwasiliana na office za Pepsi dar es salaam

Msaada wa kupata Namba za kuwasiliana na office za Pepsi dar es salaam

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata

Naitaji soda cret Mia moja,

Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa zinaita tu bila kupokelewa

Naomba msaa kwa yeyote ambae anajua naweza kuwapata vipi hawa jamaa na waniletee soda kwenye duka langu
 
Kila eneo huwa kuna Agent wao( authorised distributor) mkubwa nenda kawasiliane na Agent wa karibu atakupa mwongoza.
 
Hili nalo kwikwi, makampuni makubwa mengi namba zao za simu wanaweka kama urembo tu.

Ni mara chache sana kukuta zinapokelewa ukipiga.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom