Msaada wa kupata ramani ya hall dogo

Msaada wa kupata ramani ya hall dogo

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani.

Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika halmashauri.

Tafadhari nipgie 0764663662. Utapata chochote.
 
Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani iyo iwe inakubalika halmashauri.

Tafadhari nipgie 0764663662. Utapata chochote.
Yani pesa za sadaka hutaki wachora ramani nao wapate riziki yao?

Basi wewe download ramani yoyote peleka tu haina shida.
 
Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani.

Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika halmashauri.

Tafadhari nipgie 0764663662. Utapata chochote.
Hall mpe mtaalam hela akuchoree. Hall sio vibanda vyetu hivi vya vyumba viwili vitatu ambavyo unaweza kwenda site huna ramani ukamwabia fundi jenga hivi na vile.
 
Back
Top Bottom