Yani pesa za sadaka hutaki wachora ramani nao wapate riziki yao?Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani.
Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani iyo iwe inakubalika halmashauri.
Tafadhari nipgie 0764663662. Utapata chochote.
Hall mpe mtaalam hela akuchoree. Hall sio vibanda vyetu hivi vya vyumba viwili vitatu ambavyo unaweza kwenda site huna ramani ukamwabia fundi jenga hivi na vile.Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani.
Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika halmashauri.
Tafadhari nipgie 0764663662. Utapata chochote.