Msaada wa kupata Recent GIS Shapeline za Tanzania

Msaada wa kupata Recent GIS Shapeline za Tanzania

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwema,

Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania.

Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015.

Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
 
Shapefile?

Nicheki PM nikupe namba ya mtu.
 
Back
Top Bottom