luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jul 12, 2022 #1 Wadau kwema, Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania. Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015. Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
Wadau kwema, Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania. Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015. Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jul 12, 2022 #2 Shapefile? Nicheki PM nikupe namba ya mtu.
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Jul 12, 2022 #3 Wanakuja