bigpack1982
Member
- Apr 20, 2011
- 75
- 20
Habarini za mchana waungwana,
Wiki iliyopita nilifanya manunuzi ya bidhaa na nikapewa risiti kutoka katika EFD Machine. Sasa risiti ile nitakuwa nime i missplace sehemu, haionekani (Imepotea may be). Risiti hiyo ni muhimu kwa ajli ya records zangu.
Je, nitawezaje kupata copy ya risiti ya manunuzi hayo? Nilirudi kwenye lile duka wakaniambia hawawezi kutoa tena sababu itaonekana ni mamunuzi mapya na hivyo itakuwa hasara kwao (which makes sense).
Msaada tafadhalini