bigpack1982
Member
- Apr 20, 2011
- 75
- 20
Mkuu........ngoja nione kwanza wengine watasema nini then nitakurudia............
mkuu ulifanikiwa? nimepoteza risiti ya efd na inabid kuwekwa kwenye records kiofisiHabarini za mchana waungwana,
Wiki iliyopita nilifanya manunuzi ya bidhaa na nikapewa risiti kutoka katika EFD Machine. Sasa risiti ile nitakuwa nime i missplace sehemu, haionekani (Imepotea may be). Risiti hiyo ni muhimu kwa ajli ya records zangu.
Je, nitawezaje kupata copy ya risiti ya manunuzi hayo? Nilirudi kwenye lile duka wakaniambia hawawezi kutoa tena sababu itaonekana ni mamunuzi mapya na hivyo itakuwa hasara kwao (which makes sense).
Msaada tafadhalini
Andika barua TRA wakusaidie kuitrack kama unakumbuka amount na range ya tarehe ilipokuwa issuedmkuu ulifanikiwa? nimepoteza risiti ya efd na inabid kuwekwa kwenye records kiofisi
Inawezekana hilo, kupata duplicate ya risit hy kutoka kwa mfanyabiashara hy aliekuuzia bidhaa. Muhimu inatakiwa ujue:mkuu ulifanikiwa? nimepoteza risiti ya efd na inabid kuwekwa kwenye records kiofisi
siku nyingine nitakutafuta Kwa msaada, nilirud kwenye Duka nililonunua nikaomba Anipe risit ingine nikapilia makato tuInawezekana hilo, kupata duplicate ya risit hy kutoka kwa mfanyabiashara hy aliekuuzia bidhaa. Muhimu inatakiwa ujue:
1. Tarehe gani ulipata hy risiti
2. Aina ya mashine ya EFD then
3. Kuna hatua za kutoa risit hy, naweza fanya hilo