Msaada wa kupata scholarships za kujifunza food processing technology nchini Israeli

Sophoghani

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
395
Reaction score
626
Wanajamvi habari.

Nimefatilia taifa la Israeli kwenye swala la food technology and processing wako vizuri pamoja pamoja na mazingira waliyonayo.

Hivyo basi nikiwa namalizia degree yangu ya Food science and technology, nimeona sio mbaya nitafute nafasi nikaone wenzetu wanafanya vipi Mambo yao kiundani pindi nitakapo hitimu ....

Matumaini yangu Ni kwamba Kama nikifanikiwa kufika, nitajifunza kufa kupona na nikirudi Mungu akijalia, nitaleta utaalamu hapa nchini kwa kufanya Mambo niliyoyapanga kwa ufanisi zaidi.

Hivyo Basi natanguliza maombi kwa mtu yeyote anaweza nisaidia namna kupata full funded scholarship hata ya mwezi mmoja nifike huko Israeli. Nikajifunze zaidi.....

Natanguliza Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…