Wadau habarini za mchana naomba kupata sheria inayozungumzia kupewa barua ya majukumu ya kazi pale unapoteuliwa kusimamia majukumu flani kwa mfano umeteuliwa kuwa mtaaluma mana nasikia ni lazima unapomteua mtu kwa majukumu flani ni lazima apewe barua ya utambulisho wa majukumu.
Asanteni na ninategemea kupata msaada kutoka kwenu wadau.