haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,829 Reaction score 4,614 Oct 22, 2014 #1 Habarini ndugu zangu! kama kunamtu anaweza kunisaidia nikapata nafasi katika shule mzuri za serikali au binafsi ambayo ni boding kidato cha kwanza anisaidie kwa ajili ya mdogo wangu.iwe ya wasichana au mchanganyiko
Habarini ndugu zangu! kama kunamtu anaweza kunisaidia nikapata nafasi katika shule mzuri za serikali au binafsi ambayo ni boding kidato cha kwanza anisaidie kwa ajili ya mdogo wangu.iwe ya wasichana au mchanganyiko
karuhanga JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 219 Reaction score 79 Oct 22, 2014 #2 Nenda nganza girls iko mwanza ni nzuri sana
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,829 Reaction score 4,614 Oct 22, 2014 Thread starter #3 karuhanga said: Nenda nganza girls iko mwanza ni nzuri sana Click to expand... Ni goverment au private
karuhanga said: Nenda nganza girls iko mwanza ni nzuri sana Click to expand... Ni goverment au private
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Oct 22, 2014 #4 St francis. . Ipo mbeya, private!