Msaada wa kupata UDOM Admission Letter

Eratosthenes

Senior Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
102
Reaction score
114
Naomba msaada ndugu zangu jinsi ya kupata UDOM Admission letter make kila ukiingia ALIS wanataka uweke f.IV exam namba na Surname ka password ila ukiweka vyote inakataa! Msaada jamani make muda ndo unaenda na bado cjaipata.

Mungu awabariki sana.
 
Kama wewe ni Bachelor degree student wamesema ni mpaka saa kumi na moja ndo itakuwa open
 
Wamebadili watatoa kesho 2/10/2014 saa kumi kamili jioni...
 
Kaka jonatus mbona tunashindwa kupata admission letters kwa kulogin kwenye hiyo link ya udom?


Wameahirisha mpaka saa kumi jioni kesho
So kesho saa kumi nadhani zitakuwa zimetoka kwa utaratibu wao.
 
Tafuta thread ya udom admission letter utaona nimetoa maelekezo ya namna ya kupata hizo forms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…