Msaada wa Kupatiwa Muongozo wa kuanzisha Salon ya kiume

Msaada wa Kupatiwa Muongozo wa kuanzisha Salon ya kiume

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Wasalaam. Naomba kupatiwa mwongozo wa upatikanaji wa vifaa vya Salon ya kiume ikiwa ni pamoja na bei ya Mashine za kunyolea pamoja na viti. Pia bila kusahau utaratibu wa malipo kwa kijana anayehudumu katika salon hiyo sambamba na hesabu anayotakiwa kuleta huyo muhudumu kwa siku.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ziko mada humu ndani zimejadili ishu hio kwa upana jaribu ku search ..ingawa NI maada za zamani kidogo ila Bei na iman haijatofautiana sana
 
Back
Top Bottom