Wasalaam. Naomba kupatiwa mwongozo wa upatikanaji wa vifaa vya Salon ya kiume ikiwa ni pamoja na bei ya Mashine za kunyolea pamoja na viti. Pia bila kusahau utaratibu wa malipo kwa kijana anayehudumu katika salon hiyo sambamba na hesabu anayotakiwa kuleta huyo muhudumu kwa siku.