Msaada wa kupiga mhuri VISA

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
2,341
Reaction score
2,390
Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada.
 
Duh wakili agonge visa??? Visa inatolewa ubalozin, but inategemeana na nchi zingine unaenda na passport yako wanakugongea entry!!!
 
Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada.

Visa unagongewa na wakili? wakili gani huyo mwenye mamlaka ya kufanya hivyo? kazi hiyo hata mwanasheria mkuu wa serikali au jaji mkuu nadhani hawezi. kwani ni viza ya nchi gani hiyo unayotaka?
 
Visa unagongewa kwenye ubalozi wa nchi unayotaka kwenda baada ya kutimiza vigezo vya kupata hiyo visa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…