CHIEF MIRAMBO
Member
- Dec 13, 2012
- 16
- 2
nawasalimu wataalamu wetu,kwa kiasi kikubwa tunaona furaha pale mnapotusaidia kuhusiana na afya zetu, ila leo naomba msaada sana kuhusiana na tatizo la kupooza kwa upande mmoja wa uso (facial palsy), ni kitu gani kinasababisha na nini tiba yake ili mtu arudi ktk hali yake ya kawaida? asanten, nawasilsha!