Msaada wa kupunguza uzito kwa pills

Msaada wa kupunguza uzito kwa pills

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jf. Naomba mwenyekujua naweza kupata wapi vidonge vya phertamine kwa Tanzania ama dukagani la dawa maana wameniambia inapungiza uzito ila lazima upate prescription ya daktari ambayo Kwangu sio kazi naandikiwa tu ila pakuzipata. Msaada plz
 
Mimi nimepungua kwa diet na mazoezi
Asubuhi ninakula May si mawili ya kuchemsha na yoghurt, nikifudi jioni mchemsho wa ndizi ba nyama au sato
Maji kwa wingi. Epuka pombe
 
Habari wana jf. Naomba mwenyekujua naweza kupata wapi vidonge vya phertamine kwa Tanzania ama dukagani la dawa maana wameniambia inapungiza uzito ila lazima upate prescription ya daktari ambayo Kwangu sio kazi naandikiwa tu ila pakuzipata. Msaada plz
Nenda fb mtafute kwa ku like page yake Dr boazi mkumbo MD wala hutapata shida ya kupungua Mimi ni muhanga Nilikuwa na 97kg mpaka sasa nini 78 kg
 
Kumeze hizi dawa ni sawa tu na metforming,,, sasa why usifanye tu diet ??? Mana hizo dawa bila kufanya diet ni kazi bure
 
Nenda fb mtafute kwa ku like page yake Dr boazi mkumbo MD wala hutapata shida ya kupungua Mimi ni muhanga Nilikuwa na 97kg mpaka sasa nini 78 kg

Ukuchukua muda gani kufikia hapo?
Je gharama Yake kiasi gani?
 
Tumia njia mbili ya diet pekee au diet na mazoezi..
Ya diet pekee ni kucontrol kula vyakula vya wanga na mafuta mengi( chips) na kula kwa kiasi kidogo na sio kuacha kula kabisa au kupuuza milo maana unaweza ukapata vidonda vya tumbo. Pia njia hii ni slow and difficult to maintain

Lakini pia combination ya diet na mazoezi ni best method na ya haraka sana..
Unachokifanya ukitaka upungue haraka fanya mazoezi ( wakati huu mwili huhitaji sana chukula kwa wingi) huku ukimaintain diet ( wanga kidogo sana na mafuta) hiyo itatengeneza deficit na automatically mwili utakua forced kuconvert yale mafuta yaliyokua yamekua stored to energy na hivo utaanza kupungua..

Ikumbukwe kwamba mwili unapoupa chakula kingi na haufanyi kazi ya kukifanya kitumike huwa converted to fat( mafuta) ambayo yanakua stored kwenye tumbo( kitambi) , matiti, makalio, mashavu , miguu na mikono ( michirizi ya unene), na kuzunguka vital organs .. Na apo utajgundua kwa nini makuli wanakula sana lakini hawanenepi wala kuongezeka uzito..
 
Back
Top Bottom