Tumia njia mbili ya diet pekee au diet na mazoezi..
Ya diet pekee ni kucontrol kula vyakula vya wanga na mafuta mengi( chips) na kula kwa kiasi kidogo na sio kuacha kula kabisa au kupuuza milo maana unaweza ukapata vidonda vya tumbo. Pia njia hii ni slow and difficult to maintain
Lakini pia combination ya diet na mazoezi ni best method na ya haraka sana..
Unachokifanya ukitaka upungue haraka fanya mazoezi ( wakati huu mwili huhitaji sana chukula kwa wingi) huku ukimaintain diet ( wanga kidogo sana na mafuta) hiyo itatengeneza deficit na automatically mwili utakua forced kuconvert yale mafuta yaliyokua yamekua stored to energy na hivo utaanza kupungua..
Ikumbukwe kwamba mwili unapoupa chakula kingi na haufanyi kazi ya kukifanya kitumike huwa converted to fat( mafuta) ambayo yanakua stored kwenye tumbo( kitambi) , matiti, makalio, mashavu , miguu na mikono ( michirizi ya unene), na kuzunguka vital organs .. Na apo utajgundua kwa nini makuli wanakula sana lakini hawanenepi wala kuongezeka uzito..