richald j.donald
Member
- Jun 3, 2013
- 14
- 9
Ulitaka sema Patience?..It needs petiency.
Mafuta ya mnyonyo yanakufaa sanaNapenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana nataka kama za rick rose mwenye utaalam sana naomba nijuze hata kwa PM
Mimi nakupenda bureIngia Youtube search unachokitaka humu utaambulia kejeli mpaka ujute,
Unless uwe umejiandaa na mijibu yao.
Mimi nakupenda bure