Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
Download APK on Android with Free Online APK Downloader - APKPure alternatively jaribu ku-install hii mkuu wakati unaangalia namna ya ku-install google playstore. Binafsi niliitumia over 2 years nilikuwaga na simu ya chinese version ambayo haikubali ku-install googleplay store