Msaada wa kusajili kampuni mtandaoni

Msaada wa kusajili kampuni mtandaoni

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Nipo katika hatua za awali kusajiri kampuni ya ukandarasi wa umeme. Sasa katika kufuatilia Brela nimeambiwa kila kitu ni on line sasa pale kuna vitu viwili
1. Registration of business name
2. Registration of company

Sasa napenda kuuliza hapo nisajiri ipi kati ya hizo ambayo baadae itaniwezesha kwenda CRB kusajiri kampuni?
 
sajili . Registration of company
kazi za ujenzi ni vema ukawa na ltd. pia CRB ni moja ya vigezo ili kupata daraja la juu
 
Back
Top Bottom