Nipo katika hatua za awali kusajiri kampuni ya ukandarasi wa umeme. Sasa katika kufuatilia Brela nimeambiwa kila kitu ni on line sasa pale kuna vitu viwili
1. Registration of business name
2. Registration of company
Sasa napenda kuuliza hapo nisajiri ipi kati ya hizo ambayo baadae itaniwezesha kwenda CRB kusajiri kampuni?