Msaada wa kusave bidhaa kwenye Excel Sheet

mgendege

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
322
Reaction score
388
Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia yuko mbali mauzo una ya ona kwenye computer yako na wewe bila ya kumpigia kuwa ume uza nini na nini
 
Kama biashara yako ni endelevu na unahitaji mfumo wa uhakika nitafute nikupe suluhisho bora kuliko Excel sheets. Lakini kama ni biashara ndogo na unalazimika kutumia Excel kwa sababu ya urahisi wa gharama pia nitafute nitakutengenezea fomula hitajika kwenye Excel

Alphonce
0767659145
0620246040
 
Back
Top Bottom