Msaada wa kushiriki nane nane

edrick me

Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
11
Reaction score
3
wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. ahsante
 
Wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. Nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze.

Ahsant
 
Nane nane wanauongozi wao kikanda, fika viwanja husika utapewa utaratibu kwani kila kanda ina utaratibu wake
 
wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. ahsant
unaenda kuonyesha maonyesho gani?
 
Nane nane wanauongozi wao kikanda, fika viwanja husika utapewa utaratibu kwani kila kanda ina utaratibu wake
Ahsante ndio nimeomba kama una uelewa wowote kuhusu utaratibu huo na kwa nda hii (Dar es salaam) inafanyikia wapi
 
Tuna kampuni yetu mpya inajihusisha na masuala ya kilimo (Esokoni) inahusika kuunganisha wakulima na wanunaji yaan Masoko. So tunaenda kutangaza huduma zetu.

Mkuu samahani in advance najua nitakukwaza....,

kwahio kampuni yenu inadeal na information..., yaani mpo vizuri kwenye kujua masoko yapo wapi na wateja wapo wapi.., kwenu information ndio kila kitu..., sasa mkuu hata kama taratibu za kupata banda n.k. ni mgogoro huoni huu sio mwanzo mzuri.., au mtakuwa ni platform tu wakulima wanakuja wenyewe na wateja wenyewe wanakutana na kufanya yao nyie mnakula commission ?
 
Aisee umetoa point
 
Kule watu wanapenda Tangible things ndo shida kubwa. Wanataka waone kitu kwa macho yao
 
Ahsante sna
Ahsante sana mkuu huu ni mtandao ambao unakutanisha wakulima na wanunuaji not kwamba tunataftia wakulima masoko yaan kwamba lenyewe ndio soko. Wewe mnunuaji utakutana na muuzaji kupitia forums na hiyo ni free. Utakuja na bidhaa yako utaweka na mwingine atakuja na ofa yake mtajadili mfanye biashara huko. So kwa ufupi ni kwamba sisi sio wa kukutaftia soko ila tunakutengenezea soko. Nadahani umenipata mkuu..nakusikiliza
 
well and good.., kwahio nyie ni platform.., challenge kubwa ni utapeli mtahakikisha vipi au mtawahakikishia vipi wale wanaokuja hapo kwamba deals zitakuwa genuine na sio kuuziana mbuzi kwenye gunia...

Kwa ushauri bora msifanye deals free bali kwa ujira ila kuwe na guarantee ya mtu kupata mzigo na sio kutapeliwa, au kupata uhakika wa quality ya mali mnaweza kufanya hivyo kwa kufanya due diligence kwa kila mnunuzi na muuzaji, pia wale wauzaji na wanunuzi wenye history nzuri kuwa certified.., unless otherwise itakuwa ni makutano ya wapigaji...
 

Ahsante kwa ushauri mzuri sanA
 
Tumia muda wako vzuri fika ofisi ya mkoa na wlaya husika kila kitu kipo wazi unapaswa kujua zaidi ya ulichouliza
Be smarter and responsible person
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…