AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,416
- 6,290
Wana level zile za chini nahitaji kufahamu basic certificate ya psptb unaipateje , na vigezo vyake ni vipi,Duuhw, Kwa nijuavyo mimi ili usome hiyo Kozi ya Bodi unatakiwa uwe ni Mhitimu wa Stashahada au shahada ys kozi husika ndio utaruhusiwa kusoma level nafikiri wanazijua wahusika zaidi sasa wewe na kidato cha 4 tu unataka usome huko HAPANa
Kwa Level ya Form Four nadhani utaanza na PD1 (Professional Dipolma One).Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
Asante sana mkuuKwa Level ya Form Four nadhani utaanza na PD1 (Professional Dipolma One).
Ila kwa uhakika zaidi Ingia kwenye website ya Bodi, chukua contact then watwangie direct watakupa majibu yaliyonyooka zaidi