Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Habari wakuu! Kuna mtoto wa rafiki yangu anataka kusoma kozi tajwa kwa level ya certificate au diploma kwa hiyo nauliza kuhusu vigezo vya kusomea taaluma niliyoitaja hapo juu, na chuo gani binafsi kinachotoa kozi hiyo? je ni lazima awe alisoma masomo ya science alipokuwa o-level?