Msaada wa kusoma

Msaada wa kusoma

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
jamani nawaombeni sana nimeomba kusoma afya ya diploma ya clinical officer serikalini sina uhakika kama watanichagua maana ni c ya ph,b ya chem na d ya bios pia b ya math na d ya eng.wasiwasi wangu ni juu ya somo la msingi la bios ambapo nina d,hivyo naombeni msaada wa vyuo vingine vinavyotoa diploma ya CO
 
Back
Top Bottom