Msaada wa kutafsiri picha hii kwa madaktari hasa wataalamu wa uzazi

Kumbe mkuu unajua wazi kuwa hapa bongo ni kibongobongo tu sio. Basi Nairobi ndio wenyewe. Bongo waweza hata kukuwekea mjusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa huyo mjusi miezi 9 si utajifungua Mamba kabisa au Dinosaur
 
Hio ni report ya seminal analysis
Yaani kipimo cha male infertility

Report yako inaonesha count ni ndogo ambayo ni 8million per ml wakat normal inatakiwa count iwe 20-300 mill per mil

Pia motility ni mbaya yaani inaonesha 70% ya sperm wako sio motile
Na ili mtu aweze kua fertile lazima sperm wake wawe atleast 60 % motile tena forward progressive movement (wasiwe tu wanatembea bali watembee mwendo wa hatua na in straight foward motion

So kwa report ilivyo mtu anatibika kwani mbaya zaid report ingeonesha mtu ana azoospermia ( no any sperm in ejaculation ) hapo ingekua shida ila kwa hio report ukipata dr.mzur na kukupangia nutritions basi unakua okkkkkkkk pamoja na multivitamins
 
Afadhali kumbe inatibika am so happy for him
 
Majibu mazuri sana ubarikiwe
 
Zitakuwa ndo zile zinaogelea kutoka nje ya k badala ya kwenda ndani
Hapana. Mbegu mkuu huko ndani zinatakiwa ziwe na 'forward progressive movement' ktk harakati za kwenda kurutubisha.
 
Majibu mazuri sana ubarikiwe
Jamaa amekueleza vizuri. Mi naongezea kidogo tu; kama una stress, punguza mkuu na kama ni mlevi/mnywaji pia punguza au acha kilevi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…