Msaada wa kutafsiri

Msaada wa kutafsiri

Mama Mwamba

Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
15
Reaction score
1
kuchoreka
kushoboka
maunguli (wa filamu)

Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet?

Asanteni! 🙂
 
kuchoreka ni sawa na kusema 'kumtazama mtu huku yeye hajijui kuwa anatazamwa
au ku enjoy kumtazama mtu huku yeye haoni au yuko aware kuwa anatazamwa


kushoboka noi sawa na 'kupapatikia' au kujipendekeza...




nguli, ni sawa na kusema 'mahiri'
kwa hiyo manguli wa filam ,ni sawa na kusema waigizaji 'mahiri' au 'wakubwa' wa filam...

hiyo gari ni toyota starlet......
 
Back
Top Bottom