kuchoreka ni sawa na kusema 'kumtazama mtu huku yeye hajijui kuwa anatazamwa
au ku enjoy kumtazama mtu huku yeye haoni au yuko aware kuwa anatazamwa
kushoboka noi sawa na 'kupapatikia' au kujipendekeza...
nguli, ni sawa na kusema 'mahiri'
kwa hiyo manguli wa filam ,ni sawa na kusema waigizaji 'mahiri' au 'wakubwa' wa filam...
hiyo gari ni toyota starlet......