Msaada wa kutaku kujuwa

Msaada wa kutaku kujuwa

fella maliki

Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Mm nimesoma paka 4m4 lkn nikapata chet nataka nikasome sheria je ? Kama nikisoma sheria ukitowa kufanya kaz mahakamani na siasa je ? Kaz nyengine ni ipi ambay nitaifany ktokana na courze niliyo somea mm?
 
Karani au mpiga chapa sawa na unavyoweza kufanya mahakani.Hata mahakamani hakuna kazi nyingne unaweza kufanya zaidi ya ukarani,upiga chapa ama mtunza kumbukumbu au katibu mhitasi.
 
Back
Top Bottom