Msaada wa kutambua aina ya madini haya na thamani yake

Msaada wa kutambua aina ya madini haya na thamani yake

M2 KU2

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
333
Reaction score
230
Wana bodi mimi ni mgeni katika sawala madini kuna Mzee wangu ameniomba nimuulizie haya ni madini aina gani na thamani yake kama kuna mjuzi atujuze.
IMG-20201113-WA0002.jpg
IMG-20201113-WA0003.jpg
IMG-20201113-WA0004.jpg
 
Upo Mkoa, Wilaya Kijiji, Kitongoji, Mtaa
Siyo Kila Kitu Ni Madini Vingine Vyupa Na Mawe Laini
 
Wana bodi mm ni mgeni katika sawala madini kuna Mzee wangu ameniomba nimuulizie haya ni madini aina gani na thamani yake kama kuna mjuzi atujuze
Mkuu hiyo aina thamani kwa maana ni muunganiko wa mchanga uliyopondwa na mafuriko kwa maana
Hiyo kijiologia tunaita Quartz
 
He inauhusiano wowote na madini au Vito vya thamani asije kuibiwa pesa zake za kiinua mgongo bureee

a
Ninao ufaham wakutosha kuhusinaa na madini ya vito hcho mzee ulicho kishika hakiitika ktk familia ya madini ya mawe, na Kama nijiwe BAC limetoka Lad hilo
 
Back
Top Bottom