Msaada wa kutatua tatizo hili kwenye Samsung smart TV yangu

Msaada wa kutatua tatizo hili kwenye Samsung smart TV yangu

Pembe 7

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
44
Reaction score
88
Nina sumsung smart TV ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia USB port? Nyimbo za audio zilizopo kwenye flash zinacheza kama kawaida.
 
Nina sumsung smart tv ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia usb port? Nyimbo za audio zilizopo kwenye flash zinacheza kama kawaida.
Angalia TV yako ina-support ku-play video format za aina ipi alaf angalia na format ya hizo video ulizoweka kama TV hai-support hiyo format haziwezi ku-play mpaka u-convert kwenda kwenye format TV yako ina-support.
 
Asante sana ndugu yangu,nitafanya hivyo.
 
Nina sumsung smart TV ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia USB port? Nyimbo za audio zilizopo kwenye flash zinacheza kama kawaida.
Mm pia inanisumbua na tv yangu ni samsung inch 32 series 4 msaada tafadhari.. audio inasoma lakin video inagoma
 
Sio TV zote zinaweza kucheza video kutoka kwenye flash na kama inaweza inategema na format/container/encoding ya hiyo video.

So moja inaweza kucheza mp4 yenye h264 lakini haiwezi kucheza mkv ya h264. Itabidi usome manual ya hiyo TV kuelewa inasupport nini au jaribu video tofauti kujua nini kinafanya kazi kisha convert video zako kutumia software za komputer au simu Handbrake kwenye computer iko fresh au ffmpeg command line pia ffmpeg media encoder android ila hizi ni kazi nzito bora utumie PC.
 
Back
Top Bottom