Msaada wa kutengeneza picha zenye maneno

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Habari...

Naomba namna ya kutengeneza picha kama hizi.

Zenye hizo caption.

Kwa simu au computer

images (1).jpeg
 
Kwa simu utatosha, Ila kwa computer Adobe Illustrator ndo yenyewe, Hapo ujuzi wa kuchora unahusika.
Kuchora kwa mouse inawezekana ila ni noma, kama unataka kufanya hivo professional level, tafuta grahic tablets ziko hadi za chini ya Laki AliExpress.
 
Kweli

Back
Top Bottom