Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
Wataalam,
asanteni sana kwa ushauri wenu manake na mimi pia nina hamu sana ya kutengeneza website lakini kweli sijui nianzie wapi. Nataka nitengeneze website yangu lakini pia iwe inaweza kutuma email kwa mfano Website.com halafu niwe na emails zake mhafidhina@website.com
yaani kila siku nakesha nikiwaza lakini hata sijui nianzie wapi na ni fanyeje...! Naombeni msada wenu ndugu zangu...! Msaada kwa step by step kuanzia mwanzo (sina utaalam wowote wa mambo ya website)
Asanteni sana ndugu zangu...!
Same as above, ukinunua webhosting na domain utaweza kutengeneza email yoyote @website.com
Wasiliana naKang,
Asante sana kwa maelekezo. Je hio web hosting inanunuliwa wapi na inauzwaje? Jamani naomba kuelimishwa tu ndugu zangu manake sijui pa kunazia kabisa.