Msaada wa kutoa FRP Honor X6 na Samsung a10s

Msaada wa kutoa FRP Honor X6 na Samsung a10s

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Habari zenu za majukumu.

Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.

Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.

Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.
 
Methods nyingi sikuhizi zinakuwa patched na wahusika unakuta inafanya kazi miezi kadhaa kisha haifanyi tena kazi

Wadau wenye ujuzi zaidi watakuja
 
Methods nyingi sikuhizi zinakuwa patched na wahusika unakuta inafanya kazi miezi kadhaa kisha haifanyi tena kazi

Wadau wenye ujuzi zaidi watakuja
Nahisi wanaona zile trick Youtube na wanazifanyia kazi.
Kwa mfano kama hii Samsung unakuta app ipo app store afu kwa youtube lakini ukiingia kwa device Asa hivi hauioni
 
Nilifanikiwa kubypass Samsung Galaxy A52s 5G,ila nishasahau
 
Habari zenu za majukumu.

Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.

Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.

Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.
Hizo simu zako zina security ya mwezi na mwaka gani? Kwa kazi ya uhakika tumia program za kulipia.
 
Back
Top Bottom