Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ndio nawasubiri hapa maana naona wamepita shaaaa.ngoja waje wataalamu
Nahisi wanaona zile trick Youtube na wanazifanyia kazi.Methods nyingi sikuhizi zinakuwa patched na wahusika unakuta inafanya kazi miezi kadhaa kisha haifanyi tena kazi
Wadau wenye ujuzi zaidi watakuja
Hizo simu zako zina security ya mwezi na mwaka gani? Kwa kazi ya uhakika tumia program za kulipia.Habari zenu za majukumu.
Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.
Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.
Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.