Msaada wa kutoa gari bandarini mahesabu, Nissan Note

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Wataalamu wa mambo nisaidieni kukokotoa mahesabu ya kodi ya kulipata hili gari likifika bandarini hadi kwenye mikono yangu.Please mote that FOB $450, CIF $1718..Nimejitahidi na HY TOOL nimeshindwa,halafu kama kuna mtu wa clearing humu tuwasiliane (PM).

Taarifa muhimu hizo hapo chini.

 
NIMEATTACH PICHA YA TAARIFA NAONA HAIJATOKEA.....NAWEKA KWENYE COMMENT
 
watakuja tu, vuta subira....ila na matapeli nao watakuemo, utachuja mwenyewe
 
engine cc 1490, manufactured 2005, registration year 2006,mileage 170842, location Yokohama.... wataalamu njooni basi
 
Kodi za kulipa: Import Duty 25% of CIF, Excise Duty 10% of CIF ( From cc 2000),
Kama ni la below 1999 utalipa 20% of CIF ya uchakavu,
VAT 20% of Total (CIF + import+excise+Uchakavu) .

Hizo ni Kodi, Ukija bandari kuna Warfage, Storage charges if excceed 7days before clearing, Port charges na upuuzi kibao wa kukimbiza file!!! , Then bado hujamlipa clearing and forwarding agent ambayo ipo kati ya 300,000/- hadi 500,000/= depending na utapeli wao.

Registration ni kama 250,000/= hivi kwa sasa. Insurance kama unataka compressive ni 5% of declared value. Third part ni 70,000/=

Sasa weka kwenye excel and do your calculation you will know how much a minimum you need.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…