Login hapo. Hapo kwenye alafu screenshot tena nione ujumbe unasema. Au ww utaona hapo status inavyosemaNimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini.
Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama zipo..naombeni mnielekeze nimalizie jamaniiiiii..
###kama hujui usikoment pls!
Hiyo continue hapo click alafu status inabidi isome hiviHapo nimeshalogin,inakuja Hivyo kwenye picha,nafanyaje hapo
Wew hapo submit hivyo hivyo sema hakikisha tu hizo page zipo sawa alafu form nzima itaji download utaona kila kitu. Hapo uoni kwa sababu unatumia simu na kuna baadhi ya simu unaweza kuonaAsante sana Bro! Pia Kuna hili :mbona ile Sehemu tunapoweka page ya 2 na ya 5 nikibonyeza preview inakuja rangi nyeusi tu? Hazionekani