Mkuu, kwa sasa muonekano wa JF umebadilika kidogo. Kwa Subscribe mara nyingi ipo kwenye menyu ya nukta tatu (…) au sehemu ya juu ya uzi. Kuhusu kuendelea na episode, fungua uzi kisha tumia Next/Previous Thread au search kwa jina la uzi. Kwa comments, unaweza kutumia bookmark ili kurudi ulipoishia. 👍Habarini zaleo wana Jf naombeni msaada nikiingia huku siku hizi natatizika kweli,kitufe cha subscribe sikioni.
nikitafuta kwa tabu baadhi ya uzi nilizokumsaawa nafwatilia nikikuta Episode 5 labda, kuipata ya sita au mwendelezo ni shida .
Pia zamani kama unataka kusoma coment ulipoishia kusoma ilikuwa rahisi tu ukumbuke ni no ngapi basi ila kwa sasa nashidwa .
Msaada tafadhali naomba mnielekeze kwa anayejua
App mpya haina option hizo unazosemaMkuu, kwa sasa muonekano wa JF umebadilika kidogo. Kwa Subscribe mara nyingi ipo kwenye menyu ya nukta tatu (…) au sehemu ya juu ya uzi. Kuhusu kuendelea na episode, fungua uzi kisha tumia Next/Previous Thread au search kwa jina la uzi. Kwa comments, unaweza kutumia bookmark ili kurudi ulipoishia. 👍
Ya Zaman Me Natumia Naona BabKubwa.... Mpya Mgeni Hata Mimi🙃App mpya haina option hizo unazosema
Tumia webSasa ya zamani utaipateje
Unamaanisha browserTumia web
Yes, Kwangu sipati changamoto yoyoteUnamaanisha browser