BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 352
- 782
Marehemu Aliacha Damu Kwa Hiyo Jamaa Anahitaji Ndugu Wa Marehemu Ili Aweze Waonyesha Damu Ya Ndugu Yao(Mtoto Wa Marehemu Priscus).Ongeza nyama kidogo mtumish
Ili ueleweke unazungumzia nini
Huyu alikuwa anafanya shughuli gani? Kuna mmoja alikuwa fundi wa photocopy alafu baadae akaanza biashara ya mbao Liwale je ndio huyu?Habari wanajamii forums!
Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na dhumuni ni kutaka kuwaunganisha hao ndugu na damu ya ndugu yao aliyoiacha mahali. Asante.
Kuna mambo yanafanya niwe na limited info. Mkuu, ila alikuwa ni fundi nyumba, mara ya kwanza kujua habari zake alikuja mbeya kulikuwa na ujenzi WA ghorofa la mfanyabiashara WA mbeya Anaitwa Kasisi.Huyu alikuwa anafanya shughuli gani? Kuna mmoja alikuwa fundi wa photocopy alafu baadae akaanza biashara ya mbao Liwale je ndio huyu?
Ninaye mfaham mm sio huyo unaemsema. Yeye alikuwa fundi photocopy na printer mm alikuwa fundi wangu mkubwa hadi umauti unampataKuna mambo yanafanya niwe na limited info. Mkuu, ila alikuwa ni fundi nyumba, mara ya kwanza kujua habari zake alikuja mbeya kulikuwa na ujenzi WA ghorofa la mfanyabiashara WA mbeya Anaitwa Kasisi.
Sorry mkuu taarifa za awali nilizonaso naishia hilo Jina la MATEI, niliambiwa ana kaka yake Anaitwa Priscas Matei dada zake ni Monica MATEI, Pendo na Geno MATEI!Umesema Priscus matei mshanga?