Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akupm umtumie address ya kazi gani wakati wewe ndio unapaswa ufanye transfer toka kwako kwenda kwenye hiyo address?Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address
Wewe unaizalau,ila mimi imeniingizia laki 8,
unajua value ya bitcoin?
Nilikuwa nimechelewa,saivi huniambii kitu,unapata free bitcoin kwa mchezo mdogo tu