Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln
Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa kwa haraka pia tokana na mikataba yetu na wateja inahitaji kusubiri kama mwezi mmoja tu, tumeongea na mteja mmoja amekubali kuhamia popote hilo deni lake ili sisi tuuze na tuweze kupata hizo peta,, tafadhali kwa yeyote alie tayari atujulishe na tutamuachia faida ya kutosha kutoka kwa mkataba huo
We mwenyewe ukisoma hii kitu unaielewa?
Mnafanya biashara ya riba/kukopeshana,je mmejisajili kisheria?
Sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufanya biashara ya riba?
Labda kama ni taasisi inayotambulika kisheria.
mnafanya biashara ya riba/kukopeshana,je mmejisajili kisheria?
Sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufanya biashara ya riba?
Labda kama ni taasisi inayotambulika kisheria.
Jamaa lazima watakua from Lumumba.hapo ndio utajua kuna harufu ya utapeli.
Iweje taasisi imuuzie mtu binafsi deni?
Sheria za nchi zinasemaje?
Je sheria za taasisi yao zinaruhusu hilo?
Kama ni taasisi ilosajiliwa na hainamatatizo; kwanini wasiende bank kukopa kama wanauhitaji wa hela?
mnauza majanga,mmeshindwa kudai watu mnataka kuwaingiza mkenge raia.
huu ni utapeli wa wazi wazi eti ununue deni uanze kumdai mtu ambaye ukumkopesha wewe na wala humjui kudadadeki damn
Yeye atafahamishwa kua kuanzia leo anadaiwa na mimi na sio nyinyi!??MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln
Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa kwa haraka pia tokana na mikataba yetu na wateja inahitaji kusubiri kama mwezi mmoja tu, tumeongea na mteja mmoja amekubali kuhamia popote hilo deni lake ili sisi tuuze na tuweze kupata hizo peta,, tafadhali kwa yeyote alie tayari atujulishe na tutamuachia faida ya kutosha kutoka kwa mkataba huo
tumewashtukia; iweje taasisi ilosajiliwa tena inayohusika na utowaji mikopo iogope KWENDA bank kukopa ije itafute watu binafsi wa kuukopesha tena fedha zenyewe ndogo kama mil 30?
Kama mnakopa mil 30 kwa watu binafsi mnamtaji wa shilling ngapi?
Yeye atafahamishwa kua kuanzia leo anadaiwa na mimi na sio nyinyi!??
Na asiniponilipa nitambana vipi mtu ambae sikumkopesha?
Asiponilipa naruhusiwa kuwadai nyinyi?
Nyinyi niwape 30mil, then yeye atanilipa ngapi?
kama EPA vile. Ila CCM ndiyo wajuvi wa kununua madeni hewa, kawauzie.Yawezekana kweli usielewe na hasa kama huna mwanga wa shughuli za biashara za kifedha, pia mm sina taaluma ya utoaji wa habari au taarifa, nasikitika lakini kama uko lnterested ni PM, kwa ufupi tunauza mkataba wa Deni tulilomkopesha mtu/mteja badala ya kusubili atulipe yeye wewe utulipe kwa kulinunua kwa pungufu kidogo ya zile mteja atakazolipa. muda ukiwadia atakulipa wewe moja kwa moja. kwani wewe utakuwa ulishatulipa/nunua kwetu