Samahani ndugu, hebu funguka hapo Hisa ziko ngapi kwa sasa unazoziuza? Wewe uko wapi saivi? Na je, uko tayari kuuza kwa bei gani kwa sasa? Kumbuka Kwamba taarifa kama hizi na nyinginezo ndizo zinazoweza kutuvuta sisi wateja.Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila nikiuliza nakutana na "uswahili"uliosheheni na majibu yasiyoeleweka!Naombeni utaratibu wa kuuza hisa hizo ili nijitoe kabisa kwa hiyo benki!
Duuhh!Mazito!Ni kweli nilichemka sasa nini kifanyike?Hisa?..benki ya walimu?? Mzee hapo ulichemka pakubwa..walimu hawa hawa au?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utaratibu upi wa kufuata?Fuata utaratibu uliotumika kununua hizo hisa. Mambo ya hisa tuachie tu wazungu ila sisi uswahili bado mwingi sana bora tuweke kwenye kibubu ni 100% safe.
Hizo hisa ulinunua au ulipewa ?Ni utaratibu upi wa kufuata?
Nilinunua 2013Hizo hisa ulinunua au ulipewa ?
Asante kwa methali'Hisa Bank ya Mwalimu'
Kweli upere humuota asiye na kucha
Ulifanikiwa?Asante kwa methali
Nilinunua mwaka 2003,hisa moja ikuwa sh.1000Ulinunua kupitia broker gani kama unaweza mtaje na idadi ya hisa zenyewe.. Kumbuka hivi tunavyoongea bei ya hisa moja sokoni ni 500