Nenda kwenye office za sanduku la posta zilizopo karibu na wilaya yako au karibu nawe.
Kuna sanduku la posta kwa mtu binafsi na kampuni.
Nenda na kitambulisho chako cha NIDA, Mpiga kura na Barua kutoka serikali ya mtaa inayo elezea kuwa unahitaji huduma hiyo. Ambatanisha vyote kisha nenda kwenye office zao.
Gharama zao ni nafuu, maelezo mengine utapata hapo.
Haito pita wiki 1 hadi 2 utakuwa umesha pata PO BOX number yako na funguo za kisanduku chako.
Au kuna huduma yao ya PO BOX online ulikuwa unauwezo wa kupata ndani ya lisaa tu. Sijajuwa kama huduma hii Bado ipo ila unaweza pia kuwasiliana nao.