kula samaki na.maziwa kwa wingi bila kusahau mboga za majani.
ila kabla hujawaza.hilo.fikiria kwanza je! wewe una IQ kubwa? babake je?
maana atapata kwako na kwa babake.kama nyie ni slow usitegemee IQ yake itakua fasta..hongera kwa kukaribia kuwa mama...
penda sana kusoma soma vitabu kipindi hiki inasaidia
ameline umeongea jambo la maana sana, kula like 100kula samaki na.maziwa kwa wingi bila kusahau mboga za majani.
ila kabla hujawaza.hilo.fikiria kwanza je! wewe una IQ kubwa? babake je?
maana atapata kwako na kwa babake.kama nyie ni slow usitegemee IQ yake itakua fasta..hongera kwa kukaribia kuwa mama...
penda sana kusoma soma vitabu kipindi hiki inasaidia
Lols. Magazeti ya umbea?
penda sana kusoma soma vitabu kipindi hiki inasaidia
kula samaki na.maziwa kwa wingi bila kusahau mboga za majani.
ila kabla hujawaza.hilo.fikiria kwanza je! wewe una IQ kubwa? babake je?
maana atapata kwako na kwa babake.kama nyie ni slow usitegemee IQ yake itakua fasta..hongera kwa kukaribia kuwa mama...
Habari zenu! Nna ujauzito wa miez 6 sasa..je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri? Gata akiwa class awe dizain za wale watu mwl.akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri..