Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Habari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.
Jamani wadau nami pia nauliza ulaji wa mlonge na matumizi ya juisi ya ukwaju wakati wa ujauzito je havina madhara?
My dia barikiwa wewe naipenda ila nilikuwa nakunywa huku nasitasita sasa nafikiri nitakua na amani ingawa nilikuwa naikoroga tu na maji ya moto nilikuwa sichemshi sasa nitakuwa nachemsha ila. mlonge pia ninao ila nimeogopa kuutumia sijajua kama hauna madhara najaribu ku- find out bado sijapata jibu la uhakika.mlonge sifahamu ni nini ila juice ya ukwaju no nzuri sana kwa wajawazito kwani ina calcium nying sana itakayomfaa mtoto.hata mm nilitumia sana ndo yalikua maji yangu nlikua nakunywa lit 3 kila siku naweka kwenye chupa za maji zile kubwa za.lit 1.5 mbili naenda nazo kazini mpaka jion imeisha.pia juice ya ubuyu ni nzuri kwa wajawazito.
Angalizo: hakikisha unachemsha mpaka ichemke wakat wa kuiandaa ili kuua vijidudu vyote.
My dia barikiwa wewe naipenda ila nilikuwa nakunywa huku nasitasita sasa nafikiri nitakua na amani ingawa nilikuwa naikoroga tu na maji ya moto nilikuwa sichemshi sasa nitakuwa nachemsha ila. mlonge pia ninao ila nimeogopa kuutumia sijajua kama hauna madhara najaribu ku- find out bado sijapata jibu la uhakika.
Tatizo moja la ukwaju mahudhurio yanakuwa mengi.
Halafu kibaya changu nakaribia kumaliza 1st trimester sina hamu ya kula so natengeneza vitu vya kuniongezea apetite nikianza kula kama ni nyama nashitukia namaliza kilo, kama ni kuku najishitukia nakaribia kummaliza mzima yaani mpaka naona soo.
Haya inshaallh ntajitahd nimnyonyeshe
Habari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.
Ndugu nielezee vizuri hapo kwenye mayai, maana nijuavyo mayai mabichi au yasioiva vizuri ndio shida sasa mayai yaliyoiva vizuri yana shida gani.Unachotakiwa ni kula vyakula vyakula vinavyoweza kumjenga mtoto tumboni kabla hajazaliwa
(epuka kula mayai, chai, kahawa, pombe, kuvuta sigara,), pia hakikisha unapata muda wa kupumzika usiwe na mawazo.
Mara baada ya kujifungua hakikisha mtoto ananyonya maziwa halisi ya mama, na kadiri anavyoendelea kukua hakikisha anapata mlo safi ili asiumwe(kuumwa kunachangia kuchelewa kukua), kitaalam tunaambiwa ubongo mtoto unaanza unakomaa akiwa na kuanzia miaka 5, hvyo kwa umri wa uchanga ndio mda wa kuujenga ubongo
Tafuta ubongo wa Newton, uchanganye na wa Galileo Galilei, na wa Aristotle, na Charles Darwin, uchanganye na maziwa ya Marie Curie, kutwa mara tatu mpaka unajifungua, utazaa super genious.
penda sana kusoma soma vitabu kipindi hiki inasaidia