Msaada wa kuziba ufa kwenye kwenye kioo cha gari

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
1,005
Reaction score
82
Wajukuu,

Naomben Masada.

Hivi kioo cha gari kikipata minor crack hivi hamna utaalamu Tz wakuunga ili nisisnunue kioo kipya?
 
Wacheki hawa jamaa wako magomeni, wanaziba crack 0766 772 229, inaziba vizuri kama crack haina muda mrefu. Bei yao ni kuanzia 10,000 - 50,000 KULINGANA NA UKUBWA WA CRACK. Sorry nimeweka namba zao kwa faida ya wengine wenye same problem
 
asante sana

Jibu sahihi ni kuweka kioo kingine.

Vibrations na mashimo ya barabara zetu sidhan kama itadum, sana sana hiyo ni suluhisho la muda mfupi

Replace damaged part/mirror/wind shield completely for reliable, secure and permanent silution.
 
Back
Top Bottom