Habari za j'pili wakuu,
Kabla ya yote napenda kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa tuniweka hai mpaka siku ya leo.
Naomba kwa yeyote anayejua gharama za kupata laini za uwakala [Tigo pesa na M-pesa] anisaidia ni vitu gani vinatakiwa ili kupata hizo laini, gharama kuanzia mwanzo mpaka nazipata, na natakiwa kusubiri kwa muda gani?